Msaada, chuchu yangu inatoa maji kama usaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada, chuchu yangu inatoa maji kama usaha

Discussion in 'JF Doctor' started by nkowowo, Apr 22, 2012.

 1. nkowowo

  nkowowo Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Titi langu moja linauma kwenye chuchu na ukibinya chuchu inatoa maji mazito kama usaha.


   
 2. k

  kim jong un JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  hiyo mastitis wai uende hospital, sidhan kama ni kansa ya titi. Au find me through 0718451900. Make haujeleze umri, jinsia, make hata wanaume wana chuchu na titi.!
   
 3. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  good kid! kim jong un? i don't care what you call yourself tho. this was excellent advice! God bless you.
   
 4. j

  jacobs1998 New Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  just go and get a medical advise,the sooner the better.
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nenda hosp haraka.
  Ukitoka huko ndio upite hapa JF kutupa updates
  Pole
  OTIS
   
 6. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  pole nenda hospital naimani Mungu atakusaidia
   
 7. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Pole sana, Kamwone Daktari utapatiwa vipimo na matibabu
   
 8. nkowowo

  nkowowo Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeenda hosp wamenipa dicloper na amoxline wiki sasa hakuna nafuu.
   
 9. k

  kim jong un JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Nilikwmbia call me haujafanya hivyo, kuna sababu nyingi zinasababisha hili tatizo lakini zote zinatofautiana kati ya jinsia, kulingana na umri wa mtu, pamoja na hali ya mtu kwa sasa.

  Unaweza kuwa na intraductal papilloma, ambayo ni common kwa wanawake wa umri wowote hasa pre-menapausal women, ductal ectasia inasababisha discharge nyingi kwenye nipple hasa kwa post-menapausal, kuna mastitis hasa kwa wale wanaonyonyesha lakina na wasionyonyesha pia, kuna wale wenye mimba wanapata colostrum discharge ambayo ni normal.

  Unaweza kupata breast absces under areola pia dawa zozote kama vidonge vya mpango wa uzazi vitu vingi.

  Nieleze vitu vifuatavyo naweza kukusaidia
  1. Colour ya pus
  2. Kama kuna pain
  3. Kama kuna uvimbe wowote
  4. Kama kuna mtoki (lymph node) kwapani
  5. Mabadiliko ya rangi ya tt
  6. Kama unapata homa kwa sasa
  7. Je, una mimba
  8. Vipi unanyonyesha
  9. Je, unatumia contraceptive pills
  10. Taja dawa unzotumia kwa sasa taja zote usiache ant TB, ARVs
  11. Nambie mabadiliko ya mwili yeyote

   
 10. nkowowo

  nkowowo Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks, color ya pus ni njano ila sio njano sana, pain iko kwa mbali na uvimbe upo ndani kwenye chuchu kama umeshikana na chuchu ambayo inaleta tofauti na chuchu ya titi lingine. hizo dalili nyingine sina. na dawa kwa sasa situmii tena baada ya kumaliza amoxline na dicloper walizonipa hosp.
   
Loading...