Acha uoga, ukiona nafasi imetangazwa wewe peleka naombi. Kuna mwajiri gani asiyeelewa?
Advance diploma ni sawa na shahada ya kwanza.
Utajipotezea nafasi kwa kuwa na hofu isiyokuwapo.
Mimi Nina diploma ya ualimu pia Nina degree ya ualimi. Sasa nataka kusoma digrii ya business administration majoring marketing , au digree ya procurement and logistic management au transportation and logistic management. Ila miaka 3 naona ni mingi sana je naweza soma miaka miwili kisha nikadrop ili nipate hicho cheti cha advance diploma??
Inawezekana tuu, Jiunge degree kwa miaka miwili kisha utapata Higher diploma, ila hakikisha unasoma kwenye Taasisi ( Institutes) like IFM, CBE, NIT Ndio kuna mfumo huo, ukisoma universities hakuna iyo option