- Thread starter
- #41
Ni recommended one mkuu, na tulizifungua tena kihakikisha zimekaa sawa aula, ximekaa sawa.Mambo mawili ya kuzingatia,
1. Plugs ulizoweka ni recommended kwa hiyo engine? Plugs hazifanani.
2. Aliyeziweka aliziweka vizuri?
Watu wanarusha tu plug, mwisho tip inapinda then plug mpya inaanza kubehave kama plug mbovu.
Juzi tu amekuja mtu wa humu ndani na gari yake inamisi ikiwa Idle, kufungua plug ni mpya na recommended kabisa kwa hiyo engine ila aliyezifunga alizirusha tu tip imebana kwenye plug 3 kati ya nne.
Nikaanza kuadjust tena tip na gapping tool. Kurudishia ishu imepotea.