Msaada: Canon IR2018

Msaada: Canon IR2018

kajiti

Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
59
Reaction score
7
Hii canon IR2018 photocopy/printer/sccaner ni mpya ila ushamba kazi! Nimenunua na cartridge ambayo kwenye manual ina jina la "drum unit" ila baada ya kusoma vizuri manual na kuangalia machine "toner cartridge" haipo. je hii inaweza kuwa sababu machine kushindwa kutoa copy? kuna tofauti gani kati ya kazi ya toner cartridge na drum unit?
 
Hii canon IR2018 photocopy/printer/sccaner ni mpya ila ushamba kazi! nimenunua na cartridge ambayo kwenye manual ina jina la "drum unit" ila baada ya kusoma vizuri manual na kuangalia machine "toner cartridge" haipo. je hii inaweza kuwa sababu machine kushindwa kutoa copy? kuna tofauti gani kati ya kazi ya toner cartridge na drum unit?

Huwezi kutoa copy kama toner haipo. Toner ndio wino wenyewe.
Na kuna tofauti kubwa kati ya drum unit na toner, ingawa vyote vinategemeana sana.

Ila kama mashine ni mpya hua inakuja iko complete na toner ndani ila huwezi kuwasha mashine na kutoa copy mpaka utoe sill iliyowekwa kwenye toner na drum unit. Hizi zinawekwa ili kukuthibitishia kuwa mashine ni mpya na pia kuzuia wino kuvujia kwenye mashine. Ni kazi rahisi na haina haja ya kumwita fundi.

Kama unataka maelezo jinsi yakufanya hivyo, kuwa karibu na mashine yako alafu nicheki kwenye namba hii 0753985182
 
Photocopy machine aina ya Canon inanisumbua pia.

Hai-respond zaidi inaandika Turn The Main Power OFF and ON

Tatizo ambalo laweza kuwa langu ktk uelewa ni kwamba, nimezima machine na kuiwasha lakini bado.

Msaada wa kitaalamu na uelewa tafadhali!
 
Photocopy machine aina ya Canon inanisumbua pia.

Hai-respond zaidi inaandika Turn The Main Power OFF and ON

Tatizo ambalo laweza kuwa langu ktk uelewa ni kwamba, nimezima machine na kuiwasha lakini bado.

Msaada wa kitaalamu na uelewa tafadhali!
Hi.
Kabla ya"Turn The Main Power OFF and ON " kuna message gani nyingine?
Mfano: E:xxxx
 
Fanya kama mdau hapo juu alivyoo kuelekeza utume error code ndio unaweza kuelekezwa lakufanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom