Msaada Canon 2425i inaandika checking the data

Msaada Canon 2425i inaandika checking the data

MPARE KIBOGOYO

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
405
Reaction score
281
Habari...naomba msaada wa kutatua tatizo kwenye CANON 2325i. Inaandika ( Checking the data.....
Do not turn OFF the main power.

Remaining Time 1 min.
IMG_20220916_160652.jpg
 
Hizo mashine zinahitaji UPS kubwa (2000VA) ili kuwe na umeme usiokatika katika hususani wakati inawaka.

kuondoa hiyo error ni kwa kuweka firmware upya kwa kutumia PC yenye hiyo software. Ikishatengemaa hakikisha umeme haukatiki wakati mashine inaanza inawaka.
 
Back
Top Bottom