Msaada Camera Iphone 6

Joined
Apr 18, 2012
Posts
14
Reaction score
0
Naomba msaada simu yangu ilidondoka kioo kikapata crack
Nikabadilisha kwa kuweka kipya ila camera imegoma
Kabla ya kubadili kile kilichokua na mpasuko kilikua kinapiga kazi fresh tu na baada ya kurudishia kile cha awali bado camera haifanyi kaz
Msaada kwa hilo wadau
 

Peleka kwa aliekutengenezea a-fix hilo tatizo.
 

Ingawa nimeshindwa kukuelewa haifanyi kazi kivipi i.e imestack au haidisplay au inakuletea ujumbe gani! Kama haidisplay fundi atakuwa hakuchomeka mkanda wa kamera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…