Wakuu naombeni msaada mtu mwenye calibration setting nzuri za SONY BRAVIA TV 32 LEDModel: KLV-33R4024. Picha hazina ubora mzuri kama nilivyotarajia na kwa mbali zinaonekana kuzibwa na mithili ya ukungu. Nimejaribu ku google sijafanikiwa.