Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na haya mambo ya elimu ya juu! Nimefanikiwa kupata principles advance level PCM (ABC=6PTS), nahitaji kusoma either of above mentioned programme hivyo mawazo yenu yatakuwa msaada tosha kwangu.
Bro cwez kukulaumu maana hujui what am i through kwa sasa wth my family!kama wafikiria abt divisions and not subjected matter napata shida i can't questn back abt your level of understanding
Bro cwez kukulaumu maana hujui what am i through kwa sasa wth my family!kama wafikiria abt divisions and not subjected matter napata shida i can't questn back abt your level of understanding
Kila chuo unachokijua kinatoa computer science ila geology inatolewa na vyuo viwili tu udsm na udom so lazma kwa computer kutakua na graduates weng na pia waliopo mtaa ni wengi
Kwanza hongera kwa ufaulu mzuri. Kama huja download prospectus ya UDSM do so halafu uzipitie hizo program mbili kwa umakini.
Pili angalia mtandaoni aina ya kazi zinaozoendana na hizi program mbili na mahitaji yake (hizo kazi)
Halafu jipime haiba yako na yale uliogundua from reading and asking others ujue ipi unakufaa zaidi. I would assume given our natural resource base geologist wanahitajika sana but fanya kile unachofurahia. All the best.
Kwa upande wangu ningekushauri uchukue Computer science, japo graduates ni wengi ila ina wigo mpana wa ajira in the future!
Mifumo mingi inakuwa automated kutokana na maendeleo ya sayansi na technologia..

Mkuu nchi yetu saiv inapanuka kiuchumi kupitia nyanja mbalmbal kwa mfano saiv tunategemea gesi pia tuna migod mingi tu nakushauli kasome geology utanufaika nayo baadae