Naombeni msaada kidogo wakuu...nimepangiwa IFM third round ambapo niliomba fuculty tatu TAXATION,INSUARANCE AND ACCOUNT..na majibu yamekuja kwamba you are sellected bachelor degree 2019/2020..TATIZO ni kwamba hawajaonyesha wamenipangia fuculty ipi na nimeshaconfirm..msaada wakuu kwa anaejua!
Hapo sidhani kama kuna tatizo kijana. Huenda ikawa tatizo tu la server za hiyo system kwahiyo after muda fulani utaelewa. Mana lazima watakutumia joining instruction na admission letter..
Hapo sidhani kama kuna tatizo kijana. Huenda ikawa tatizo tu la server za hiyo system kwahiyo after muda fulani utaelewa. Mana lazima watakutumia joining instruction na admission letter..