dreamchaser18
Member
- May 21, 2014
- 88
- 36
msaada jinsi ya kuinstall bluestack na nokia software update kwny pc ya window 8 coz nkzdownload hazifiki mwsho
shukuranSasa hilo si litakua tatizo la network? Tumia torrent
shukuran nifanikiwa kuna feature kwenye control panel(net frame) nimeiturn onukubwa wa ram pia unahusika sana ktk kifaa chako isipungue 2gb