Msaada: Blackberry Z10 kuinstall android apps

Mkuu,mbona niki update inakua 10.3.2.283,siipati hiyo 10.3.3.? Nafanyaje?
ujaeleza unatumia BB ipi?
Anyway fanya automatic update ila kama haikubali fanya manual update.
 
nimejaribu mpaka whatsapp gb ila sijaambulia kitu... bado sharing file inagoma kabisa! help please
 
habari mkuu, naomba msaada wa kuweka hiyo whatsapp inayotuma picha. thanks in advance
1. eka whatsapp ya kawaida ya android. unaipata website ya whatsapp au website kama apk mirror.

2. fuata step zote za kujisajili hadi ifanye kazi

3. nenda store ya blackberry kisha download app inaitwa whatsfixer itafanya app yako ya whatsapp ifanye kazi.
 


Asante sana bro... I'm on it
 
Chief Mungu akubaliki jana nimeshika bb ya jamaa angu dakika sifuri tu nikaweka kila kitu cha muhimu ,ubarikiwe sana
 
wadau mwenye BB kat ya q10, x10 au classic nahtaj au nokia e6, e55 na n82
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…