Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
kifuatacho........?ingia blackberry appworld , tafuta whatsapp fixer, tatizo litaisha
kifuatacho........?ingia blackberry appworld , tafuta whatsapp fixer, tatizo litaisha
Kwahiyo unatumia tecno kwa sasa?Sijawah kuvutiwa na BB os, haiko motema kabisa halafu li bb ukireboot aisee unaweza hadi ukaenda kanisani kuungama dhambi zako ukrudi bado haijawaka
Simu za blackberry zina muonekano wa kipekee. Huwa napenda sana simu zinazotumiwa na wachache km iphone, blackberry na window phone. Ktk simu huwa siikubali ni TECNO ni mara mia nitumie vodafone au HuaweiIko poa sana... hata hii Samsung haitii maguu.
anaetengeneza simu za Android za Blackberry ni TCL na sio Blackberry wenyewe.Kama amekwama kabisa,kuna njia niliwahi kuitumia. Kama una simu nyingine,download App ya kusend APP kwenye simu zingine kwa kutumia Bluetooth. Hiyo haijawahi kuniangusha. Sehemu moja tu ilinigomea na sijaweza,nayo ni Gmail,aisee hawa Blackberry ni kiboko. Na ni kutokana na mausumbufu haya,Whatasapp walitangaza kujitoa kwa simu za Bb kwa sababu ya hao Bb kugoma kuwa compatible kwenye mifumo ya Android. Ila nasikia kwa sasa Bb wamekubali kwa Android version. Jamaa ni vichomi sana
Shukran mkaka.Pole mdada
well said, kama unataka kua unique go for Blackberries or Iphones naona hata HTC hawapo vibaya niliwahi kuwatumia mara mbili.Simu za blackberry zina muonekano wa kipekee. Huwa napenda sana simu zinazotumiwa na wachache km iphone, blackberry na window phone. Ktk simu huwa siikubali ni TECNO ni mara mia nitumie vodafone au Huawei
umeona eeeh... lol.Simu zakina jamaa
Ahsante kwa taarifa mkuuanaetengeneza simu za Android za Blackberry ni TCL na sio Blackberry wenyewe.
Kama uliingia kichwani mwangu. Huawei wako poa kuliko hao Tecno,sijawahi kuvutiwa nao hata mara moja. Ni simu ambazo zina kila kitu cha kisasa kama Camera nzuri sana,ila simu ya bei chee na iko too commonSimu za blackberry zina muonekano wa kipekee. Huwa napenda sana simu zinazotumiwa na wachache km iphone, blackberry na window phone. Ktk simu huwa siikubali ni TECNO ni mara mia nitumie vodafone au Huawei
Huu ni msaada mkubwa sana mkuu. Je hizo step4 kuna gharama ukiondoa gharama za bundle?pitia huu uzi namna ya kueka playstore
Google Play Store for BlackBerry 10 [Read first post for instructions] - BlackBerry Forums at CrackBerry.com
ni bundle tu hununui kituHuu ni msaada mkubwa sana mkuu. Je hizo step4 kuna gharama ukiondoa gharama za bundle?
Mkuu,mbona niki update inakua 10.3.2.283,siipati hiyo 10.3.3.1463? Nafanyaje?Kwanza kabisa unatakiwa ufanye update simu yako iwe Blackberry OS version 10.3.3.1463 baada ya hapo
kwa kutumia Blackberry yako Download izo file 4 ambazo link zipo hapo chini then install moja moja.
Kuanzia file no 2-3 unatakiwa ukishainstall tu login kwa kutumia gmail yako zikikubali umemaliza mchezo anza kula mambo ya google playstore.
1. com.google.android.gms-11.3.02-cobalt.apk
2.cobalt.blackberry.googleid-2.8.apk
3. com.google.android.gsf.login-4.3.3-cobalt.apk
4. com.android.vending-6.0.0-cobalt-build2.apk
Hahaha smartphones kama Samsung au hao Blackberry hawaweki radio siku hizi... una download mwenyewe eti unasikiliza radio online khaa mwanzo sikujua baadae nikaifutilia mbali.Walivyo wa hovyo,hata radio kwenye simu hawajaweka kabisa.
Samsung wanawekaHahaha smartphones kama Samsung au hao Blackberry hawaweki radio siku hizi... una download mwenyewe eti unasikiliza radio online khaa mwanzo sikujua baadae nikaifutilia mbali.
okay... ninayotumia hamna... kuuliza ndio nakutana na hayo majibu... mambo yote playstore.Samsung wanaweka