Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,278
- 44,414
pitia huu uzi namna ya kueka playstoreChief-Mkwawa,
Nimefanikiwa kudownload na kuinstall Es File Explorer na pia Opera Mini....
What next.
Mwaka wa nne hujafanikiwa kuinstall kitu au mwenzangu umefanikiwa??Pamoja sana,mi pia natumia z10,mwaka wa nne sasa.nawafatilia kwa makini
nina kila kitu,whatsapp,insta n.k,kila kitu napata hukuMwaka wa nne hujafanikiwa kuinstall kitu au mwenzangu umefanikiwa??
Tupe maujanja unafanyaje? Ww unakula kimya kimya?nina kila kitu,whatsapp,insta n.k,kila kitu napata huku
Kwanza kabisa unatakiwa ufanye update simu yako iwe Blackberry OS version 10.3.3.1463 baada ya hapoTupe maujanja unafanyaje? Ww unakula kimya kimya?
Ktk simu zinazoaminiwa kwa security ni iphone na blackberry. Trump alipoingia madarakani alilazimishwa atumie blackeberry. Hiyo ni simu ya zamani?Mkuu na wewe unatumia simu ya zamani sana ndugu yangu
Mkuu nimefuatilia hatua zote na kufanikiwa kuweka playstore kwenye Blackberry Classic kwa uzuri tu.pitia huu uzi namna ya kueka playstore
Google Play Store for BlackBerry 10 [Read first post for instructions] - BlackBerry Forums at CrackBerry.com
Playstore nimeweka freshmkuu wasikutishe, mimi nina z10 ina playstore na apps nyingi tu za android ila sio zote.
step ya kwanza kabisa ingia amazon app store download es file explorer. hio itakuwa ndio rafiki wako wa kufa na kuzikana, atakusaidia mambo mengi ya ku mod.
kisha install browser kama ucweb ama opera mini zenye download manager nzuri hizi unazipata kwa urahisi website ya apk mirror. andika tu google apkmirror operamini
kisha tumia hio hio website ya apk mirror kueka apk ya jamiiforums ama tapatalk.
ukishakuwa familiar na kuweka apk rudi nikuoneshe namna ya kuweka playstore na whatsapp inayoweza tuma picha.
Playstore nimeweka fresh
Naomba mwongozo hapo kwenye whatsapp inayoweza kutuma Picha maana kila nikijaribu napata ujumbe "sharing file failed please try again"
Simu nayotumia ni Blackberry Classic
Tell him... hawa wa Tecno wereva ndio hujiona wajanja maskini.Ktk simu zinazoaminiwa kwa security ni iphone na blackberry. Trump alipoingia madarakani alilazimishwa atumie blackeberry. Hiyo ni simu ya zamani?
Kutumia tecno unawaona wenzao washamba. Mm mbona natumia nokia 500 yenye os ya symbian.
LoL.Sijawah kuvutiwa na BB os, haiko motema kabisa halafu li bb ukireboot aisee unaweza hadi ukaenda kanisani kuungama dhambi zako ukrudi bado haijawaka
Me bado nakomaa nayo hadi kieleweke... lolMwaka juzi niliiuza simu hiyo hazifai kabisa na sasa hiv huwezi hata kuinstall watsApp
Yaan ni balaaaaaaHii simu ni kiboko. Ni simu ngumu lakini kila kitu haikitambui. Ni ngumu mno
Kama amekwama kabisa,kuna njia niliwahi kuitumia. Kama una simu nyingine,download App ya kusend APP kwenye simu zingine kwa kutumia Bluetooth. Hiyo haijawahi kuniangusha. Sehemu moja tu ilinigomea na sijaweza,nayo ni Gmail,aisee hawa Blackberry ni kiboko. Na ni kutokana na mausumbufu haya,Whatasapp walitangaza kujitoa kwa simu za Bb kwa sababu ya hao Bb kugoma kuwa compatible kwenye mifumo ya Android. Ila nasikia kwa sasa Bb wamekubali kwa Android version. Jamaa ni vichomi sanamkuu wasikutishe, mimi nina z10 ina playstore na apps nyingi tu za android ila sio zote.
step ya kwanza kabisa ingia amazon app store download es file explorer. hio itakuwa ndio rafiki wako wa kufa na kuzikana, atakusaidia mambo mengi ya ku mod.
kisha install browser kama ucweb ama opera mini zenye download manager nzuri hizi unazipata kwa urahisi website ya apk mirror. andika tu google apkmirror operamini
kisha tumia hio hio website ya apk mirror kueka apk ya jamiiforums ama tapatalk.
ukishakuwa familiar na kuweka apk rudi nikuoneshe namna ya kuweka playstore na whatsapp inayoweza tuma picha.
Sawa!!sawa!! Ila kwa muonekano tu ipo vizuri hiyo simuMe bado nakomaa nayo hadi kieleweke... lol
Iko poa sana... hata hii Samsung haitii maguu.Sawa!!sawa!! Ila kwa muonekano tu ipo vizuri hiyo simu