Msaada: Blackberry Z10 kuinstall android apps

Culture Me

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Posts
10,493
Reaction score
21,453
Guys, nina hiyo simu naiangalia kama picha nimejaribu vyote sijaambulia kitu, google play haisomi, nimepata Estore inabagua apps, Amazon store ndio kabisaa apps nyingi hakuna.

Anayejua hizi Blackberry 10 zinavyo run msaada maana nimeangalia you tube sijaambulia kitu, mizunguko mingi.
 
Mkuu hutapata apps zote kwa hiyo z10 maana haina google playservices..... Hata ukitaka kuinstall inagoma but playstore utaipata ......... Kuna app tatu utatakiwa uziinstall blackberry google id, playstore, gfs login apk Ili playstore ifunguke na apps zidisplay lazima uregiste hiyo device na hizo app,
 
Hiyo simu ni ya mwaka 2013 Inatumia Os yake BlackBerry ni ngumu ku run Android tafuta simu nyingine hiyo iwe ya pembeni tu
Daah i wish ningejua mapema,
Hapa natumia simu nyingine maana hata jamii forum kwenye Amazon store hawaijui. lol
 
Hapo ndio penyewe sasa, kuzunguka kuinstall hizo apps za blackberry nazo shida, play store inaniambia ipo ila nikiifungua haifunguki... yaani laiti kama ningejua nisingeibabaikia walai.
 
hii simu nakumbuka 2016 kuna mtu alinunua lakini kesho yake akarudisha anadai imemshinda,
Ningekua nimenunua madukani bongo ningerudisha shida nilimuagiza mtu kutoka nje, hawezi nielewa kabisa.
 
Pole sn...kuna video zipo youtube cheki zitakusaidia la sivyo hiyo simu utaitumia kama kitochi tu
Shukrani sana, nimeangalia video zote youtube sijaambulia kitu, naenda vizuri lakin nafika sehemu nakwama, labda niwapelekee wataalam wa simu.
 
BlackBerry hizi simu zinamashalti sijawai ona,
marumizi yake ni ku Google
 
mkuu wasikutishe, mimi nina z10 ina playstore na apps nyingi tu za android ila sio zote.

step ya kwanza kabisa ingia amazon app store download es file explorer. hio itakuwa ndio rafiki wako wa kufa na kuzikana, atakusaidia mambo mengi ya ku mod.

kisha install browser kama ucweb ama opera mini zenye download manager nzuri hizi unazipata kwa urahisi website ya apk mirror. andika tu google apkmirror operamini

kisha tumia hio hio website ya apk mirror kueka apk ya jamiiforums ama tapatalk.

ukishakuwa familiar na kuweka apk rudi nikuoneshe namna ya kuweka playstore na whatsapp inayoweza tuma picha.
 
Wow! thank you so much Chief.... ndio naanza mchakato hapo nitakujuza yanayoendelea...
Ila daah umerudisha nguvu zangu upya walai.
 
Chief-Mkwawa,
Nimefanikiwa kudownload na kuinstall Es File Explorer na pia Opera Mini....

What next.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…