Habari zenu wana jf, naombeni msaada nina blackberry 9700 bold inatatizo la kujizima na kujiwasha hususani unakuta unaongea na mtu, nimeshauliwa niiflash lakini naogopa nimehifadhi data zangu nzuri maana nimeambiwa eti ni virus kwa hiyo ni bora kupoteza hizo data. Naomba msaada kwa wataalam ktk hili nifanyeje?
Download blackbery desktoo manager,install kwenye pc yako,kisha fanya backup ya simu yako,ukishaiflash una install tena hiyo back up file back to your phone,vitu vyote mpaka sms,namba za simu etc vitarudi .