Msaada blackberry bold 9000 haiwaki

T.K

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
345
75
wakuu,
BB yangu Bold 9000 iligoma kuwaka yenyewe tu baada ya kuwa nimeicharge ikiwa nimeizima. Baada ya kutoa betry na kurudishia ilikuwa ikiblink tu bila kuendelea, nilifikiri ni tatizo la software so nikajaribu kureload software lakini baada ya ku-erase software iliyokuwepo ilishindwa kuload upya na ikawa inawaka na kudisplay "Error 365 reset"

Nimekwama hapo wadau naombeni maujanja ya kuchomoka hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom