bface
Senior Member
- Dec 22, 2010
- 128
- 19
Nilikuwa na install whatsapp baada ya kudownload ikanikomand nireboot cm bt after that imekuwa inaanza kuwaka ikifika asilimia flani kabla kumaliza zen iwake inazima zen inaanza upya tena tangu juzi mpaka Leo ni hivyohivyo no changes,,
Je imekufa au ni nini? Au imecorupt na je nifanyeje ili kusolve hili?
Je imekufa au ni nini? Au imecorupt na je nifanyeje ili kusolve hili?