Msaada blackberry 9780

Msaada blackberry 9780

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777
HABARI WAKUU?
naomba msaada juu ya nini la kufanya blackberry yangu imegoma kufanya kazi ghafla...nikiwasha ina load mpaka mwaisho then ina stack kwa mda mrefu, kisha inawaka hapo inaniandikia java lang error,niki press ok inakaa sawa lakini niki start application yeyote inakuwa white kwenye screen then inaandika App Error 603 au 602 inasema reset nikipress reset inarudia yale yale.
Nimekwama kwa siku 7 sasa nimeona niombe msaada Jamvini..
Natanguliza Shukrani zangu.
 
Download blackberry manager and reflash the phone.Software yake imekorupt so inatakiwa uiweke upya.au mpelekee fundi simu akusaidie.kama upo Dar ni PM nnaweza kukurekebishia
 
Download blackberry manager and reflash the phone.Software yake imekorupt so inatakiwa uiweke upya.au mpelekee fundi simu akusaidie.kama upo Dar ni PM nnaweza kukurekebishia

thanx mkuu,nna blackberry desktop manager but inagoma ku connect to device,nikisema repair inaleta kwanza ni update desktop manager...ikiupdate inarudi palepale..though ngoja niparangane nayo ntakujuza mkuu
 
os inatatizo inahitaji kuinstall nyingine download blackberry firmware and flash for more details call me 0717009369
 
os inatatizo inahitaji kuinstall nyingine download blackberry firmware and flash for more details call me 0717009369

Nina bb yangu 978
Imegoma kuonesha kabsa. Ikiwaka inatoa mwanga mweupe tu. Hapo haiendelei. Nifanyeje?
 
Change firmware bhasi download bb desktop application update ur bb operating system
 
je una blackberry desktop tayari installed kwenye pc yako? na pia unatakiwa uwe na blackberry 9780 firmware ukifanya hivyo niambia ukinipigia it is better kwani I cant be on jamii forum all the time
 
Hata hivyo kuna changamoto pia kwenye hizi blackberry mpya inaweza ika kataa ku connect kwenye jvm then at your level you cant. it has to be done with me
 
Nimegundua hiyo njia ambayo wengi mnatumia ya ku update siyo nzuri kwani km kuna virus haiwezi ku update ndiyo maana tuna weka namba za simu mind you we may not re veil every thing through this forum but we can give hint how to go about but there more complex ways to install os intall blackberrys
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom