Msaada blackberry 9630 ina restart kila muda

Msaada blackberry 9630 ina restart kila muda

colt m4

Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
13
Reaction score
1
wana jamvi naombeni msaada wenu simu yangu aina ya Blackberry 9630 inaji restart kila muda.... Ni kimeo au?? Tafadhaali msaada wenu unahitaji
 
wakati mwingine inaweza ikawa ni betri jaribu kuweka kwenye charge uone km bado ina restart ikiwa safi basi nitatizo la betri km bado toa memory card jaribu ikendelea weka OS nyingine ni call 0717009369
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom