Prince Nadheem JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 1,265 Reaction score 1,092 Jan 21, 2016 Thread starter #21 124 Ali said: Njia ipi iliyokufanikisha mkuu ,? Click to expand... niliiwasha katika safe mode then nikaenda setting baadae nikaenda kubadili screen resolution ndio ilikubali. so the major issue was screen resolution. kwa sasa inapiga kazi fresh kabisa and am enjoying full features za windows 10
124 Ali said: Njia ipi iliyokufanikisha mkuu ,? Click to expand... niliiwasha katika safe mode then nikaenda setting baadae nikaenda kubadili screen resolution ndio ilikubali. so the major issue was screen resolution. kwa sasa inapiga kazi fresh kabisa and am enjoying full features za windows 10
Kaparo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2013 Posts 2,230 Reaction score 5,416 Jan 21, 2016 #22 Msaada hapa, kwenye pc yangu inayo run win 8 nimepata tatizo la pc kuonesha blue screen kama hivi.
Prince Nadheem JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 1,265 Reaction score 1,092 Jan 21, 2016 Thread starter #24 kaparo aloizay said: Msaada hapa, kwenye pc yangu inayo run win 8 nimepata tatizo la pc kuonesha blue screen kama hivi. Click to expand... Mbona hiyo picha haipo mkuu??
kaparo aloizay said: Msaada hapa, kwenye pc yangu inayo run win 8 nimepata tatizo la pc kuonesha blue screen kama hivi. Click to expand... Mbona hiyo picha haipo mkuu??