msaada biashara ya udalali

msaada biashara ya udalali

The River

Senior Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
127
Reaction score
84
habari wakuu,,. naomba kwa anayejua kwa undani biashara/kazi ya udalali wa mahakama anisaidie,.. yaani nahitaji niwe na kiasi gani cha kuanzia,vitu vinavyohitajika ili nipate vibali vyote na faida ya hii kazi,.natanguliza shukran
 
Kwanza kabisa anatakiwa ukasema kazi ya udalali na ugawaji nyaraka gharama 1m

Back
Top Bottom