hahahah.... sasa mkuu unataka trekta utumie mjini hivi kwel inaezekana, ushakutana na trekta posta kwel!?? wakati unanunua ulifikiria nini....
mbona trekta zinalipa vizuri sana na zipo vijijini, sema we hujawekeza.... jaribu hili:
tafuta kiasi cha pesa kwa ajiri ya matengenezo kwanza ya trekta yako sababu umesema linaharibika, nunua vifaa genuine.....
funga gprs kwenye trekta yako utakua unaona kupitia sim au kompyuta sehemu yoyote hilo trekta lilipo, dereva hakudanganyi kitu(usimwambie kama umeweka gprs, atachakachua).....
tafuta location nzuri yenye shughuri za kilimo kwa wingi....
baada ya hapo utanyanyua miguu usubirie faida tu!!!!!