Nina uzoefu na biashara hii, kwa sasa ni changamoto sana.
Kwanza wapangaji wa siku hizi ni locals kwa asilimia kubwa, kodi/rent zimeshuka sana tofauti na siku za nyuma, upatikanaji wa wapangaji ndio shida kubwa inayoikabili biashara hii. Ila kama umelenga eneo zuri lenye usalama wa kutosha, una parking kubwa na una msimamizi mzuri uta enjoy sana. Usijaribu kujenga kwa mkopo wa benki utajuta.