Habari zenu wapendwa? Mimi nipo dodoma ni mdada Nina mtaji wa shilingi milioni moja, tayari nmeshanunua contena lenye ukubwa unao karibia Kama chumba kimoja Ila changamoto niliyonayo nawaza nifungue biashara gani nzuri ambayo itanilipa naogopa kupoteza mtaji nilio nao maana kupata mwingine ni kazi sana. Hivyo naomba mnisaidie kunipa idea ni kitu gani nianzishe kwenye ilo contena kwa huu mtaji wa milioni moja pia kwa