Msaada Betri ya simu inavimba.

Hawa Samsung kama kuna sehemu waliyo feli basi ni kwenye battery, yani ni changamoto...,
 
Duuuuu Kama battery ni kubwa hvyo????Je simu yenyewe itakuaje????Yote kwa yote simu itakuwa imexpire AC
Mshamba wewe, ulimwengu wa smartphone screen kubwa ndio deal.

Inaelekea umeletewa zawadi ya iPhone 5 na shemeji. Siwezi kutumia kisimu cha kike kama hicho.
 
Mshamba wewe, ulimwengu wa smartphone screen kubwa ndio deal.

Inaelekea umeletewa zawadi ya iPhone 5 na shemeji. Siwezi kutumia kisimu cha kike kama hicho.
Shikamoo Matola [emoji23][emoji23][emoji23][emoji7]
 
Itabidi ukaangalie system ya chaji kwenye simu yako kwa fundi, changamoto kubwa kwa simu za Samsung ni betri labda kwa zile non removable
mkuu mimi simu yangu ikifika 27%
Yani hapo hapo inatetemeka inaishiwa nguvu inazima
Nafikiri tatizo itakua betri pia au nini
Natumia note 4 pia
 
mkuu mimi simu yangu ikifika 27%
Yani hapo hapo inatetemeka inaishiwa nguvu inazima
Nafikiri tatizo itakua betri pia au nini
Natumia note 4 pia
Nakumbuka nilisumbuka sana na betri wakati natumia samsung mpaka niliponunua betri ya Excellent ndio ikawa angalau ila nyingine zote zilikua zinavimba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…