Naungana na wadau wanaoshauri ununue betri za Excellent, mimi nilikua na S4 betri ilikua ikikaa wiki 3 haijavimba ni bahati nikanunua excellent 15,000 tu kuanzia hapo tatizo likaisha.Naomba msaada. Natumia Samsung Note 4 tatizo Betri inavimba. Shida Ni nini? Nimebadili Betri mara 3 tatizo linajirudia.
Note 4 ni kubwa kwa size 5.7" screenDuuuuu Kama battery ni kubwa hvyo????Je simu yenyewe itakuaje????Yote kwa yote simu itakuwa imexpire AC
Hivi simu ina AC ai IC?Duuuuu Kama battery ni kubwa hvyo????Je simu yenyewe itakuaje????Yote kwa yote simu itakuwa imexpire AC
Chukua Sindano halaf itoboe kwa juu (sio pemben, pale battery inapolalia) Itatoa Haruf kal na gas flan.Naomba msaada. Natumia Samsung Note 4 tatizo Betri inavimba. Shida Ni nini? Nimebadili Betri mara 3 tatizo linajirudia.
Ya kwanza ilikuwa OG ikavimba. Nikatumia Excellent ikavimba. Concord ndio bado sijatumia.Unanunua betri zile OG au hizi za mchina?
Kama unanunua OG achana nazo
Tafuta mchina kama vile Excellent au Concord utaenjoy simu yako ndugu
Hii nilikuwa nayo ikavimbaOG ni kama hii
Sasa hizi OG achana nazo we nunua michina tu hasa hasa excellent au Concord
View attachment 803519
Nami niliwaza hivyoPole sana kwa maswaibu yanayokupata,kama umebadili betri mara 3 na bado tatizo linaendelea nashauri jaribu kuwasiliana na dealer wa hiyo simu wenda system yake ya chaji sio nzuri.
Excellent imevimba nduguNaungana na wadau wanaoshauri ununue betri za Excellent, mimi nilikua na S4 betri ilikua ikikaa wiki 3 haijavimba ni bahati nikanunua excellent 15,000 tu kuanzia hapo tatizo likaisha.
Itabidi ukaangalie system ya chaji kwenye simu yako kwa fundi, changamoto kubwa kwa simu za Samsung ni betri labda kwa zile non removable
Angalia charger unazotumiaNaomba msaada. Natumia Samsung Note 4 tatizo Betri inavimba. Shida Ni nini? Nimebadili Betri mara 3 tatizo linajirudia.
Ushauri ni kama wadau waliopita ila jarbu kuwapigia campuni husika inawezekana aina ya betry utumiazo sio sahihi muhimu sana. Pia unaponunua betry mpya fuata maelekezo upeayo ya kuicharg betr kabla haujaitumia.kua makini kuna vifaa feki vimeenea nowdayz.....Naomba msaada. Natumia Samsung Note 4 tatizo Betri inavimba. Shida Ni nini? Nimebadili Betri mara 3 tatizo linajirudia.