Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 473
- 297
Salamu kwenu wakuu,nilikua ninaomba msaada kwa yeyote yule atakayeweza kunipatia betri ya dell 630 latitude iwe na uwezo angalau wa kupiga kuanzia masaa matatu na kuendelea,kwa yeyote yule ambaye anayo au anafahamu sehemu ambayo zinapatikana kwa bei rahisi naomba anifahamishe