Msaada: Benki Gani Nzuri Kufungua Account Ya Biashara?

Mm mwenyew napenda kufahamu in and out juu ya bank gan nawza kufungya account za biashara coz npo nafanya business alaf nashidwa kufamu jinsi ya kutunza pesa mpaka ntakpo ends kuchukua Mzigo mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungua na DTB mkuu
kwenye swala la charges wako chini
pia kuna facilities nyingi tu utapata, online cheque books
Kuna Branches za wkend na pia weekdays baadhi ya branch znafunga saa 12 jion kwa saa 1
na wkend pia zipo branch mpaka saa 10 jion kwa io uhakika wa huduma upo muda wote
 
Back
Top Bottom