boxer bm 150 ni 2,100,000-2,200,000. boxer cc100 iko 1,800,000 hadi 1,900,000. sanlg cc150 ni kuanzia 1,900,000-2,000,000 na sanlg cc125 ni 1750,000-1,850,000 **bei ya kila duka inategemea na stock level (idadi ya pikipiki alizonazo stoo) na alizilangua kwa bei gani. pia baadhi hupandisha kutegemea us dola