Msaada: Bei za Mazao nchini Tanzania

Msaada: Bei za Mazao nchini Tanzania

Sovi

Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
65
Reaction score
43
Habari zenu wana jamvi, natumaini mu buheri wa afya.

Naomba msaada wa kupata bei za mazao yafuatayo:
- Maize
- Soya Beans
- Sugar canes/ Sugar
- Rice
- Sorghum
- Beef, kwa kipindi cha miaka mitano (5) iliyopita, ninaandaa mradi wa kilimo lakini upatikanaji wa taarifa umekuwa changamoto sana. Nimejaribu kuangalia kwenye webiste za NBS, Wizara ya Kilimo, Wizara ya Fedha na Bodi mbalimbali bila mafanikio.

Natanguliza shukrani za dhati kwa msaada wenu..

Sovi
 
Maize 1 Kg 400_600 Tshs, Beans 1Kg1800_2400, Sugar 1Kg 2400_2600Tshs, Rice 1Kg 1500_2500 Tshs, Sorghum 1Kg 1800_2400Tshs, Beef 1Kg 5000_6000 Tshs
 
Maize 1 Kg 400_600 Tshs, Beans 1Kg1800_2400, Sugar 1Kg 2400_2600Tshs, Rice 1Kg 1500_2500 Tshs, Sorghum 1Kg 1800_2400Tshs, Beef 1Kg 5000_6000 Tshs
asante sana mdau, je hizi bei za mwaka gani? Kama utaweza kunipatia source itasaidia sana.
 
Back
Top Bottom