Habari zenu wakuu!
Ndugu yangu anaomba kujua gharama za kununua mashine ya/za kusafishia picha kwa mfano size ya 4X6, 5X7 nk
Yeye yupo mkoani na anatataka kufungua ofisi yake huko huko.
Je kwa anayejua bei ya hiyo/hizo mashine na mahitaji yake kama karatasi,wino nk.
Nitashukuru sana,kupata msaada wenu.