Nipo naanza ujenzi, nataka kutumia formwork za kukodisha ila msaada wa kujua bei zake kabla sijawafuata wahusika ili nisipigwe. Na anayejua wakodishaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Its ats away cheaperWapo watu wanakodisha formwork kwa ajili ya slab; ni za chuma na support zake!
Wanafanya 20,000 kwa sqm meter (formwork za slab + support + installation kwa 30days)
Sent using Jamii Forums mobile app