mavado JF-Expert Member Joined Jun 25, 2014 Posts 1,158 Reaction score 816 Aug 18, 2014 #1 Ati nauliza hivi pool table brand new ni bei gani??
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,059 Reaction score 10,518 Aug 19, 2014 #2 Check na Kenice Pool Tables. Hawa wanakupa mpaka ushauri wa kulitunza na wanavifaa vyote na bei nzuri maana wanatengeneza wao wenyewe. Yapo Mengine Bomba ya South Africa lakini ni ghali kuliko maelezo
Check na Kenice Pool Tables. Hawa wanakupa mpaka ushauri wa kulitunza na wanavifaa vyote na bei nzuri maana wanatengeneza wao wenyewe. Yapo Mengine Bomba ya South Africa lakini ni ghali kuliko maelezo