kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,861 Reaction score 3,097 Feb 13, 2017 #1 Habarini wadau, Naomba utalaam wa kutengeneza tambi (bites) na zile za kupika je mashine zake naweza kupata kwa sh ngapi, je naweza kutengeneza bila mashine hizo bites za tambi?
Habarini wadau, Naomba utalaam wa kutengeneza tambi (bites) na zile za kupika je mashine zake naweza kupata kwa sh ngapi, je naweza kutengeneza bila mashine hizo bites za tambi?