Nelson Kapaya Member Joined Aug 7, 2014 Posts 99 Reaction score 15 Aug 18, 2016 #1 Anaejua bei ya dagaa Dar anijuze. Pia naitaji kujua debe moja ya dagaa ina kilo gap? Coz Mwanza wanauza kwa debe Dar kwa kilo.
Anaejua bei ya dagaa Dar anijuze. Pia naitaji kujua debe moja ya dagaa ina kilo gap? Coz Mwanza wanauza kwa debe Dar kwa kilo.
buffaro89 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 592 Reaction score 378 Aug 19, 2016 #2 izo taharifa umepata wapi?labda tuanzia hapo!
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,617 Aug 19, 2016 #3 Nelson Kapaya said: Anaejua bei ya dagaa Dar anijuze. Pia naitaji kujua debe moja ya dagaa ina kilo gap? Coz Mwanza wanauza kwa debe Dar kwa kilo. Click to expand... Wakavu au wabichi? Wa visiwani au wa Mwambani - Bwiru?
Nelson Kapaya said: Anaejua bei ya dagaa Dar anijuze. Pia naitaji kujua debe moja ya dagaa ina kilo gap? Coz Mwanza wanauza kwa debe Dar kwa kilo. Click to expand... Wakavu au wabichi? Wa visiwani au wa Mwambani - Bwiru?