Usiogope mkuu, nenda pale ulizia maduka wanayouza guitars, strings na items za aina hiyo unaelekezwa utachagua unalotaka kwa mujibu wa mahitaji yako. Maduka yapo mengi tu pale
Nilipita duka moja kariakoo na kuona bass guitar aina ya Fender na zinapendeza sana, ila nasikia siyo original na zinasumbua baada ya muda mfupi.
Asante sana mkuu kwa ushauri. Yes, nilisikia hayo ma-fender yanayouzwa mtaani yanapinda baada ya muda. Sasa msaada please, hiyo Morgan Shop ipo karibu na round about ya Uhuru kwenye mtaa upi?Ingia Morgan Shop pale jirani na roundabout ya Uhuru yule pekee ndie anauza gitaa original Kariakoo japo bei zake zimesimama,maduka mengi yanauza bass fake zikiwemo hizo Fender ambazo hupinda baada ya muda mchache akikosa pale bass agiza Nairobi kama you're after genuinely made bass guitaa,ila acoustics original zipo Top shop ni wakala wa Yamaha yule,electric guitars original anazo huyo jamaa pekee,nasisitiza!
Asante mkuu kwa tip. Nyani ngabu tafadhali msaada wako unahitajika huku.Gitaa bora kabisa duniani ni aina ya FENDER na GIBSON LES PAUL na orijino zinatoka US!! Hebu muone mtani wangu Nyani Ngabu
Morgans imekuwa ina music instruments nzuri tangu zamani. Ukipata Gibson hata kama ni used ni top quality. Siku hizi kuna Fender feki kibao lakini utazijua tu. Bei ni ndogo na ukizicheki kwa makini utajua sio. Ukitaka Fender nzuri ya solo tafuta used Fender Stratocuster
Kama unatokea Mnazimmoja mkono wa kushoto palepale kwenye kona kuna jamaa wengi wanapiga passport photos huwa wanasimama nje ni mkabala na kituo cha daladala utawaona,hili ndio duka pekee Dar lenye vifaa vingi original vya music,recording studio na redio.Just go utaniambia wacheki hapa ::UHURU MUSIC SOUND Co LIMITED::Asante sana mkuu kwa ushauri. Yes, nilisikia hayo ma-fender yanayouzwa mtaani yanapinda baada ya muda. Sasa msaada please, hiyo Morgan Shop ipo karibu na round about ya Uhuru kwenye mtaa upi?
Kama unatokea Mnazimmoja mkono wa kushoto palepale kwenye kona kuna jamaa wengi wanapiga passport photos huwa wanasimama nje ni mkabala na kituo cha daladala utawaona,hili ndio duka pekee Dar lenye vifaa vingi original vya music,recording studio na redio.Just go utaniambia wacheki hapa ::UHURU MUSIC SOUND Co LIMITED::
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
wanafahamika sana kama Aggrey Music pia
mkuu ulipata?Asante mkuu, hawa Aggrey Music nimeshawahi kuwatembelea, ila nilikuwa sijui kama wanauza original ama la!