Msaada; Basi Luxury toka Mbeya kwenda Mwanza

Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,021
2,253
Wakuu Umofia kwenu.
Ninaomba kuulizia aina ya basi LUXURY linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Jiji la Mbeya. Na mara nyingi hufika saa ngapi Mwanza? Nataka kuunganisha safari kwenda hadi Magu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi hakuna luxury we sema unataka basi lenye changamoto chache za kuharibika njiani, hayo masafa marefu mbeya mwanza basi litakua zuri wiki ya kwanza baada ya hapo ni mkweche tu inabaki luxurry jina tuu. Panda super sami.
 
Asante mkuu. Kuna mtu amenipm kaniambia Isamilo au Kapricon ila siyo luxury
Siku hizi hakuna luxury we sema unataka basi lenye changamoto chache za kuharibika njiani, hayo masafa marefu mbeya mwanza basi litakua zuri wiki ya kwanza baada ya hapo ni mkweche tu inabaki luxurry jina tuu. Panda super sami.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Umofia kwenu.
Ninaomba kuulizia aina ya basi LUXURY linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Jiji la Mbeya. Na mara nyingi hufika saa ngapi Mwanza? Nataka kuunganisha safari kwenda hadi Magu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu panda basi la super sami , mwanza mnafika saa 6:00 pm

**

sent from toyota Allex
 
Back
Top Bottom