Natumia mtandao wa tigo. Kila nikiweka bando kwa ajili ya kuperuzi linaisha ndani ya dk5 hata ziwe GB1. Kinachotokea nikwamba nikiweka tu bando simu inaanza kupokea notification za ajabu ajabu na kujidownloard apps ambazo hata sijaziomba.
1.Licha ya kuwa mitandao ni wezi wa data kwa kutuhadaa kwa namba ila pia matumizi ya simu yako ni makubwa. Turnoff updates za playstore kisha sikilizia.
2.Ikizingua restore upya kisha weka kaspersky antivirus uiscan itatoka ma adware yote yanayokera kisha endelea na matumizi.
3.Ikizingua na hapo tena inabidi ununue simu za kueleweka uachane na hilo simu la kichina.