Msaada:Background za Adobe photo zimelock.

Bornvilla

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
924
Reaction score
272
Background kwenye adobe photo zimejifunga na nimeshindwa kufungua kabisa. Nimejaribu kugoogle lakini njia ninazopata hazisaidii kabisa Ku unlock background. Nimejaribu Ku double click na kuweka layer lakini wapi! Na hii ndio njia niliyoikuta kwenye mitandao.Natumia window ya ultimate. Natumaini hapa JF nitapata msaada wa tatizo hili.
 
  • Je ulikuwa ukitumia trial? Kama ni trial yawezekana muda wake ukawa umeisha hivyo unatakiwa uifanyie registration au ui_Crack
  • Kama ni full registered version- Waweza kui_unistall, na kufanya installation upya.
 

picha zote au hio uliyonayo tu?

hio njia ulioitaja ndio ya kufanya background iwe layer.

kuna njia nyengine natumia naconvert kwenda smartobject halafu narestirize type background itakua layer. kufanya hivi click layer button ipo juu.

ukishindwa kabisa tumia clone stamp tool hii nna uhakika 100% inafanya kazi. kuna kialama kama cha muhuri wa ofisini kwa pembeni
 
  • Je ulikuwa ukitumia trial? Kama ni trial yawezekana muda wake ukawa umeisha hivyo unatakiwa uifanyie registration au ui_Crack
  • Kama ni full registered version- Waweza kui_unistall, na kufanya installation upya.

Trial ya Photoshop haiwezi ku-lock background.
 

Njia rahisi na pekee ni kutengeneza new layer. Fanya hivi;
Select layer yako yote ya hiyo image kwa kupress Ctrl + A
Then copy layer yako uliyo select kwa kupress Ctrl + C
Tengeneza new documents kwa kupress Ctrl + N then press Enter
Paste layer yako kwa kupress Ctrl + V
Hapo unakuwa tayari umetengeneza new layer ya background yako ambayo inakuwa unlocked.
 
  • Je ulikuwa ukitumia trial? Kama ni trial yawezekana muda wake ukawa umeisha hivyo unatakiwa uifanyie registration au ui_Crack
  • Kama ni full registered version- Waweza kui_unistall, na kufanya installation upya.


Kulikimbia tatizo sio njia sahihi !
!
 


Convert backgroung to layer kaka!

Menu >
Layer > New > Layer from background !
 

Ngoja nijaribu hii!
 
Bornvilla

jinsi ya kufanya: chagua iyo background layer angalia kama ina kikufuli, kama kipo basi angalia juu kuna kikufuli kingine basi kiclick basi background itakuwa editable


 
Last edited by a moderator:

Mkuu inawezekana ukawa unaongelea vitu viwili. Background ikiwa imejilock kunakuwa kuna ka icon cha kufuli pale kwenye layers palette. Ukidoubleclick utaweza kuunlock backgriund na kuwa normal layer.
Pia kuna lock nyingine ambayo mara nyingi huwa kwenye .PNG files. Hii ikitokea unaweza kuondoa kwa kubadili png kutoka index kwenda RGB. click edit-mode-RGB
 

Mkuu unachokisema hasaaa ndicho.Yaani ukosahihi kabisa. Trick ya kuweka normal layer imegoma pia iko kwenye rgb lakini nikiweka background from behind pia haitaki. Yaani imeshanichanganya kabisa.Ila kupitia majembe ya JF huenda nikafurahi.
 
Imenigomea kabisa na uamuzi niliochukua ni kui uninstall halafu nika install tena. Hapo nikawa nimefanikiwa. Nashukuruni kwa michango yenu ya kitaalamu.
 
Kwa maana sasa naweza kuedit kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…