Mtoa mada huyo mtu sio mtu mzuri kwako kabisa, ajafanya kwa bahati mbaya, kafanya kwa makusudi maana kwenye Android mpaka ufanye Factory reset ni setting imejichimbia ndani ya setting, na pia unapewa hadi warning kwamba unafuta mafile na kama ulikuwa na pin/password/pattern lazima uweke. Kwa kifupi sio kitu cha kufanya kwa bahati mbaya.
Kwenye kurecover files 50% sidhani kama yawezekana, ingekuwa Sd card kuna software yaku recover mafile kadhaa.. Lakini pia independ na android version yako maana iligundulika kuwa factory reset kwenye simu nyingine hazifutwi kikamilifu (kama aujaweka files mpya)