Naona tayari wameishtukia 'wenye mali' Hii pia ilishanitoke, nilikuwa na AVG free antivirus ambayo nilikuwa ninai-update kawaida tu bila matatizo, siku moja nikajifunza jinsi ya kupata serial key za wizi hapa jf, nilipoziweka ngoma ikakubali nilishangilia mtaa mzima, siku nilipoamua kui-update yaliyonikuta sitasahau! Nadhani tatizo lilonipata ni kama lako.