Msaada: Application za NACTE

Msukuma 94

Senior Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
133
Reaction score
91
Habari za mda huu wanaJF naomba kujua idadi ya machaguo inayopaswa kufanywa maana NACTE waliniletea message kua niongezee 5000/= wakati najaribu kuweka second program.
 
Habari za mda huu wanaJF naomba kujua idadi ya machaguo inayopaswa kufanywa maana NACTE waliniletea message kua niongezee 5000/= wakati najaribu kuweka second program.
kama ukitaka kuweka kada nyingine, unalipa.
Mfano mwanzo uliweka afya, sasa unataka kuweka ualimu, unaLipia tena; au unaweka afya na ualimu, unalipa hicho ambacho mwanzoni hukukilipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…