Msaada: Application ya whatsap haifanyi kazi

Msaada: Application ya whatsap haifanyi kazi

rmvicentrm

Senior Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
147
Reaction score
26
Habari ya jion wapendwa.,
application ya whatsap haifanyi kazi shida ni nini.
lakini ukitumia data tofauti na simu yenyewe ina fanya kazi kawaida i. e wifi.
MSAADA WAKO, ASANTE
 
Habari ya jion wapendwa.,
application ya whatsap haifanyi kazi shida ni nini.
lakini ukitumia data tofauti na simu yenyewe ina fanya kazi kawaida i. e wifi.
MSAADA WAKO, ASANTE
Tatizo lako km langu ngoja waje watupe Ujuzi
 
Rekebisha mobile network configuration..ikishindikana Reset simu upya labda
 
Unatumia version gani ya whatsap,tumia gbwhatsap google utaipata
 
Back
Top Bottom