Msaada:Application ya Facebook kwenye samsung galaxy s4

Msaada:Application ya Facebook kwenye samsung galaxy s4

Paul Mchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
1,043
Reaction score
1,279
Wakuu naomba msaada kwa anaejua lipi huenda ni tatizo,maana application ya facebook kwenye s4 yangu inagoma kila nikiinstalll kutoka google play nashindwa kujiunga,baada ya ku login inaandika "connection lost....tap to rety" kila nikijaribu ku-retry inagoma,limekua ni tatizo for the weeks now,i thought ni tatizo la connection ya net but net ina speed ya kutosha,maana application nyingine kama za JF WHASSAP n.k zinakubali bila tatizo,problem, ni FB application tu,so msaada kwa anaeweza kunisaidia
 
Back
Top Bottom