MSAADA APPLICATION CUHAS[BUGANDO]

MSAADA APPLICATION CUHAS[BUGANDO]

damy P

Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
23
Reaction score
4
JAMANI MSAADA WA KIMAWAZO NIFANYEJE,NINAFANYA APPLICATION BUGANDO KWA LEVEL YA BACHELOR DEGREE LKN NIMEKUTANA NA CHAGAMOTO,MWANZO SYSTEM ILINAMBIA NIKO QUALIFIED FOR APPLICATION KWA JUMLA YA POINT SITA BAADA YA KUJAZA INDEX NUMBER YA FORM SIX LKN NILIVYOFIKA KWENYE COURSE SELECTION SYSTEM INANAMBIA NINA POINT NNE IVYO INAGOMA KUENDELEA KWA HATUA INAYOFUATA,JAMAN NIFANYE NIN??KARIBUNI
 
Attachments

  • Screenshot_2019-07-06 1 new message.png
    Screenshot_2019-07-06 1 new message.png
    9.3 KB · Views: 55
Kwanza tuanzie hapa umemaliza form six mwaka gani, ni hiyo 2015 ninayoiona hapo kwenye index number?
 
JAMANI MSAADA WA KIMAWAZO NIFANYEJE,NINAFANYA APPLICATION BUGANDO KWA LEVEL YA BACHELOR DEGREE LKN NIMEKUTANA NA CHAGAMOTO,MWANZO SYSTEM ILINAMBIA NIKO QUALIFIED FOR APPLICATION KWA JUMLA YA POINT SITA BAADA YA KUJAZA INDEX NUMBER YA FORM SIX LKN NILIVYOFIKA KWENYE COURSE SELECTION SYSTEM INANAMBIA NINA POINT NNE IVYO INAGOMA KUENDELEA KWA HATUA INAYOFUATA,JAMAN NIFANYE NIN??KARIBUNI
Piga simu for enquiries. Namba huwa wamedisplay hapo chini. Wako cooperative tu.
 
Huo mwaka grades zilikuwa tofauti, huenda kozi uliyochagua cut off point zake ziko zaidi ya hapo.
Ndio hicho kwa uelewa wangu,
 
course niliyochagua ni medical laboratory science ambayo cut off zake ni sita na ata kabla sijafika kwenye course selection unaingiza kwanza index number ya f4 na f6 then matokeo yanakua displayed na point zake ivyo kama uko qualified system inasema pale pale na ndvy ilivyotokea kwangu nina point sita lkn kwenye course selection inagoma yaani iko iv matokeo yangu ni C plat ambazo jumla yake ni point sita lkn wao mchanganuo wao uko iv physics uwe na ANGALAU E chemistry C na biology D ambapo jumla yake pia ni point sita yaani nashindwa kuelewa watu wanakuandikia qualified afu kwenye course inakua shida system yao wameiset visivyo kabisa
 
Huo mwaka grades zilikuwa tofauti, huenda kozi uliyochagua cut off point zake ziko zaidi ya hapo.
Ndio hicho kwa uelewa wangu,
yaani pamoja na mwaka kua tofauti lkn bado nina meet minimum entry requirement
 
Vipi ulipiga simu wakasema je?
Af pia kwani io C inarange kuanzia wapi hadi wapi?
Pengine io kukidhi vigezo ilikuwa general kwa kozi ambazo ziko apo .
 
awajapatikana pengine lbd mpk jtatu siku ya kazi,kama io C inakua general hakuna haja ya kumwambia mtu yuko qualified for application afu mwsho wa siku anapokua anachagua course mambo yakua tofauti inakua hakuna haja ya kumwambia mtu yuko qualified sasa kwsbb ukijiuliza kama course selection inakataa sa mtu ana kua qualified kwa issue gani,yaani dah changamoto kwelikweli
 
Sawa wewe watafute kesho
 
Jamani nimekosea kujaza mwaka was kuzaliwa nacte application naweza chaguliwa kujiunga chuo msaada kulingana na uzoefu wenu
 
Back
Top Bottom