Msaada: Apple store in Mwanza

zeromagic

Senior Member
Sep 14, 2016
186
67
wadau, mwanza apple store inapatikana maeneo gani? kwa anaejua, naomba msaada tafadhari.
 
Ipo Kenyatta Road Opposite NMB Bank, au wapigie +255 763 277 001, +255 776 712 546, Product Professional anaitwa Shashi...kila lakheri mkuu
 
kaka. hawa wana 7+ tu. hawana aina nyingine. store nyingine ni ipi?
 
Back
Top Bottom