kaka unajua mchezaji akiwa mzuri arsenal sio lazima akienda madrid nako akawe mzuri vile vile, vlc ya android si nzuri kaka nimeitumia ya kawaida sana sometime inacrash ina matatizo mengi.
kama unataka player nzuri ya android download mxplayer hii ndio best kwenye android inakubali codec nyingi na subtitle pia