b2kkalwani
Member
- Jul 6, 2014
- 14
- 2
Habar wana teknohama, naomba mwenye ujuzi au ufahamu kuhusu app ambayo naweza kuinstall kwenye simu nikatumia kama modem kwenye computer ukiachana na mambo ya tethering na hot-spot ya simu, asante.
Tuma usb hotspot ndiyo njia rahcHabar wana teknohama naomba mwenye ujuzi au ufaham kuhusu app ambayo naweza kuinstall kwenye simu nikatumia kama modem kwenye computer ukiachana na mambo ya tethering na hot-spot ya simu asante
Pamoja mkuu ubs hotspot ina app yake kwenye androidTuma usb hotspot ndiyo njia rahc
AsanteUkiacha hot spot na tethering? duuh hapo sijui aisee
Jf app naomba ufafanuzJF App
Download kutoka playstore app inaitwa Pda net, utainstall kwenye simu.Habar wana teknohama naomba mwenye ujuzi au ufaham kuhusu app ambayo naweza kuinstall kwenye simu nikatumia kama modem kwenye computer ukiachana na mambo ya tethering na hot-spot ya simu asante
Download kutoka playstore app inaitwa Pda net, utainstall kwenye simu.
Ukiifungua itakupeleka sehemu ya kudownload pda net kama software ambayo utainstall kwenye mashine yako.
Utaunganisha simu yako na laptop/ desktop kwa kutumia usb, uta-enable usb debugging kisha utaactivate pda net kwenye simu yako.
Ya kwenye kompyuta itareact, kama kila kitu kimeenda sawa utaoneshwa kua upo connected na hapo unaweza anza kuburudika.
Ila nina swali, kwanini usitumie tu hotspot kutoka kwenye simu yako? Au mashine yako ni desktop?
Nilikua sijui kama kuna desktop za hivyo ahsante kwa kunijuza.Mkuu Desktop pia zinakubali Wi-Fi, kama haikubali kwa maana kuwa haina Hardware hata akitumia app kazi bure, otherwise awe anatumia XP huwa ina tatizo mpaka uweke plugin. Umemuuliza swali zuri, labda akieleza sababu ya kutumia huu mzunguko, anaweza kusaidiwa kutatua kwa njia fupi.
Hot spot unasupply internet through Wi-Fi lakin tatizo lake haina spidi ukitumia smartphone kama modem inakuwa na spidi kubwa vile vile unaepuka kuwa na moden za kila mtandaoDownload kutoka playstore app inaitwa Pda net, utainstall kwenye simu.
Ukiifungua itakupeleka sehemu ya kudownload pda net kama software ambayo utainstall kwenye mashine yako.
Utaunganisha simu yako na laptop/ desktop kwa kutumia usb, uta-enable usb debugging kisha utaactivate pda net kwenye simu yako.
Ya kwenye kompyuta itareact, kama kila kitu kimeenda sawa utaoneshwa kua upo connected na hapo unaweza anza kuburudika.
Ila nina swali, kwanini usitumie tu hotspot kutoka kwenye simu yako? Au mashine yako ni desktop?
Fanya USB tethering tu kama shida hasa ni kutumia simu kama modem. Ila kama unataka an app ya kujaribu app tajwa hapo juu kutoka kwa mdau!Habar wana teknohama, naomba mwenye ujuzi au ufahamu kuhusu app ambayo naweza kuinstall kwenye simu nikatumia kama modem kwenye computer ukiachana na mambo ya tethering na hot-spot ya simu, asante.
Kuna universal modemHot spot unasupply internet through Wi-Fi lakin tatizo lake haina spidi ukitumia smartphone kama modem inakuwa na spidi kubwa vile vile unaepuka kuwa na moden za kila mtandao
Hot spot unasupply internet through Wi-Fi lakin tatizo lake haina spidi ukitumia smartphone kama modem inakuwa na spidi kubwa vile vile unaepuka kuwa na moden za kila mtandao
Mkuu mi natumia smartphone iko speed sana.Hot spot unasupply internet through Wi-Fi lakin tatizo lake haina spidi ukitumia smartphone kama modem inakuwa na spidi kubwa vile vile unaepuka kuwa na moden za kila mtandao
Nunua universal modem mkuu uepukane na haya matatizo!Hot spot unasupply internet through Wi-Fi lakin tatizo lake haina spidi ukitumia smartphone kama modem inakuwa na spidi kubwa vile vile unaepuka kuwa na moden za kila mtandao