mfereji maringo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 1,037
- 251
Duh, mbona unapata shida sana? Achana na hizo mambo, tumia MY CALCULATOR ni nzuri au Hata AVG anti Virus, ila APP nzuri ni kuwa MUWAZI
Duh, mbona unapata shida sana? Achana na hizo mambo, tumia MY CALCULATOR ni nzuri au Hata AVG anti Virus, ila APP nzuri ni kuwa MUWAZI
Tumia hio MY CALCULATORNikiwa muwazi si itakuwa noma
Nipeni maujanja wadau
Tumia hio MY CALCULATOR
Hahahaha nitakupatia ingineTeh! umeshaharibu sasa... itabidi nitafute nyingine! maana yupo humu na hii itakuwa kashaijua kwa hiyo usumbufu utaanza tena upya.
Duh, mbona unapata shida sana? Achana na hizo mambo, tumia MY CALCULATOR ni nzuri au Hata AVG anti Virus, ila APP nzuri ni kuwa MUWAZI
Okoka tu sasa Mpwa, kama hadi APPS zinagoma basi hakuna namna
Hahahahahaahh huu msemo unazidi kuwa maarufu. TusifokeaneUsinifokee kamanda
Hahahahahaahh huu msemo unazidi kuwa maarufu. Tusifokeane
Ttafuta App nyingine, ziko nyingiNielekeze iandike kingereza
Maana nimetafuta hiyo option ktk setting wapiiii??
Najaribu kuandika Cecilia inaandika kiarabu
Side cheek unaipaje namba unayotumia nyumbani?
Pambana tu uwezo upo mikononi mwakoNi kama mke nae asiekubalika home
Nimekwama nitafanyaje sasa
Tuombeane
Baki njia kuu mateso yote hayo ya nn