Msaada: app ya kuficha sms na calls katika iphone amani hakuna nyumbani

mfereji maringo

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
1,037
250
Asalaam

Naomba msaada nawezaje ficha sms na calls au contact katika iphone maana kuna msala home, mama home kasanukia sms za sidecheek

Msaada wadau
 
Duh, mbona unapata shida sana? Achana na hizo mambo, tumia MY CALCULATOR ni nzuri au Hata AVG anti Virus, ila APP nzuri ni kuwa MUWAZI

Asante hii MY CLCULATOR ni nzuri

Ila nimepata changamoto zifuatazo

1. Simu nikipiga inakata huenda ninesave namba kwa kuanzia 0678.... badala ya +255678..

2. Nimejaribu Kusave namba ingine imenipa namba za kiarabu nawezaje kuchange kuwa kiingereza

3. Sijaona option ya kutuma sms

Asanteni wadau
 
Nenda kwenye notification itakuonyesha sms / call ije vp uweumelock au ikiwa unlock screen mbona hiyo simu iko simple
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom